Swahili

Mmoja Atengwa Eldoret Katika Mapambano Dhidi Ya Ebola
Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo, Dk. Philip Kirwa, amesema MTRH haina mgonjwa yeyote aliyethibitishwa kuwa na Ebola chini ya uangalizi wake, akiwataka wananchi kutofautisha hatua za tahadhari na utambuzi rasmi wa ugonjwa.

Karua aifikisha PLP Kisii, asema ana uwezo wa kuwa Rais
Karua amekuwa akishiriki katika siasa za Kenya kwa muda mrefu na amejijengea nafasi katika mijadala kuhusu demokrasia, utawala na usawa wa kijinsia.

Oluga Aitaka Kuimarishwa kwa Mfumo wa Afya Kidijitali
Aidha, mifumo ya kidijitali inazidi kuwa muhimu katika kukabiliana na magonjwa ya kuambukiza na yale yanayoweza kusababisha milipuko, yakiwemo Ebola.

Kesi ya Waititu Itarejelewa Mahakamani Oktoba 27,2026
Mnamo Februari 2025, Waititu alihukumiwa kifungo cha miaka 12 jela au kulipa faini ya takribani Sh53.5 milioni baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka yanayohusiana na ufisadi.

Ruto hands over COMESA chairmanship to Mnangagwa in Zimbabwe
Kwa upande wa Kenya, kukabidhi uenyekiti kutahitimisha kipindi cha Ruto katika uongozi wa COMESA, ingawa nchi hiyo itaendelea kushiriki katika maamuzi ya jumuiya hiyo.

Homa Bay ex-clerk and others ordered to repay Sh12.57M
Hukumu imefichua jinsi fedha za umma zilivyolipwa katika akaunti binafsi kwa madai ya mishahara na huduma ambazo hazikuthibitishwa

Mzee Auawa Na 'Wasiojulikana' Kilifi,Sababu Haijabainika
Tukio hilo limeibua wasiwasi kuhusu usalama wa wakazi majumbani mwao, huku maswali yakiendelea kuibuka kuhusu kilichowasukuma washambuliaji hao kuvamia makazi ya mzee huyo.

GSU officer and hospital worker shot in Eldoret
Tukio hilo limeibua maswali kuhusu usalama wa silaha za moto katika maeneo ya umma, hususan hospitalini ambako wagonjwa, wahudumu wa afya na wageni wanatarajiwa kupata huduma katika mazingira salama.

Idara Ya Usalama Yakamata Wawili Na Dawa Za Kulevya
Hata hivyo, kukabiliana na tatizo hilo kunahitaji utekelezaji wa sheria, elimu kwa jamii, uangalizi wa wazazi na upatikanaji wa huduma za matibabu kwa watu wanaohitaji msaada.

'Atunukiwa Miaka 30 Jela Kwa Kumbaka Mtoto Wa Miaka Saba
Kulingana na ushahidi uliowasilishwa mahakamani, tukio hilo lilitokea Juni 14, 2025, katika eneo la Jacaranda, Kaunti Ndogo ya Malindi, Kilifi.

Polisi Wakamatia Kilo 100 za Bangi Kakamega
Pikipiki iliyotumika kusafirisha dawa hizo za kulevya pamoja na bangi iliyopatikana zimehifadhiwa kituoni kama vielelezo vya uchunguzi.

Sakaja aondoa Mosiria katika mabadiliko ya uongozi Nairobi
Mosiria alikuwa miongoni mwa maafisa wa serikali ya kaunti ya Nairobi wanaohusika katika usimamizi wa majukumu ya kiutawala.

Trump Afutilia Mbali Hati 300,000 za Usafiri Wakenya
Wakenya wanaoishi Marekani wamehimizwa kufuatilia hali ya visa zao na kuhakikisha kuwa wanafuata masharti yote ya uhamiaji ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria au kuondolewa nchini humo.

Mombasa:Mahakama Yaahirisha Hukumu Ya Kutaka Kuua Mpenzi
Muthoka alipatikana na hatia ya kujaribu kumuua mpenzi wake wa zamani, Elizabeth Shigari Bana, baada ya kumchoma kisu mgongoni mara tatu mnamo Septemba 2023.

Mmoja Afariki,Wawili Waokolewa Kwenye Machimbo Meru
Mkasa huo umetokea huku kukiwa na wasiwasi kuhusu usalama wa watu wanaofanya kazi katika machimbo hayo, hasa kutokana na hatari ya vifusi kuanguka na kuwafunika wafanyakazi.

EACC Yafanikiwa Kutaifisha Mali Ya Mamilioni
Miongoni mwa mali hizo ni majengo mawili ya ghorofa tano katika eneo la Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nyumba yenye vyumba vitano vya kulala katika eneo hilo na viwanja saba ambavyo havijaendelezwa katika kaunti za Mombasa na Bungoma.

Kirinyaga Kwenye Darubini Kali,Pombe Haramu
Njagi amesema Kirinyaga imegeuka kuwa kitovu cha baadhi ya pombe haramu zinazojulikana kwa madhara yake nchini, hali inayozua wasiwasi kuhusu usalama wa wakazi na afya ya umma.

Linda Mwananchi Yatinga Wamunyoro,Gachagua Wachangia Gumzo
Mkutano huo unajiri wakati ambapo shughuli za kisiasa nchini zinaendelea kushika kasi, huku viongozi kutoka maeneo mbalimbali wakiongeza mikutano na mashauriano kuhusu mwelekeo wa siasa za Kenya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.

Ruto: Uzalishaji wa Mahindi Umeongezeka, Kuagiza 25M
Rais alihusisha ongezeko hilo na mageuzi katika sekta ya kilimo, ikiwemo mpango wa serikali wa kutoa mbolea kwa bei ya ruzuku kwa wakulima.

Miskellah Rasmi Katika Kikosi Kazi Madhibiti Ebola
Katika ombi lake kwa Waziri Duale, Dk. Atellah alisema ushiriki wa KMPDU ni muhimu katika kuhakikisha kuwa wataalamu wa afya wanatoa mchango wao wa kitaalamu katika kudhibiti kuenea kwa Ebola.

Watu 65 raia wa Ethiopia Wanashikiliwa Na Polisi Nairobi.
Raia hao wanaripotiwa kuwa na dalili za utapiamlo, huku maafisa wa polisi wakiwakamata raia watatu wa Kenya kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma za biashara haramu ya binadamu.

Wanafunzi Na Wakaazi Wakesha Mtoni Kumtafuta Mwanafunzi
Wazamiaji wa eneo hilo, wakiongozwa na Maulid Asman, wamesema juhudi za kumrejesha mwanafunzi huyo zinaendelea licha ya changamoto zinazotokana na kina kirefu cha maji na mkondo mkali wa mto huo.

Mama Sarah Ruto attends Mashujaa Day celebrations
Sherehe hizo zimewakutanisha viongozi mbalimbali wa serikali, wawakilishi wa wananchi na wageni kutoka maeneo tofauti nchini kwa ajili ya kuadhimisha siku hiyo muhimu katika historia ya Kenya.

Ronaldo apigwa 'breki' siku 30 baada ya mzozo na Jesus
Mbali na kusimamishwa, Ronaldo, mwenye umri wa miaka 41, amepigwa faini ya euro 255 kutokana na hatua yake ya kuondoka kambini bila idhini wakati timu hiyo ilipokuwa ikijiandaa kwa mechi za Ligi ya Mataifa ya Ulaya (UEFA Nations League).

Maafisa 1,948 wa Polisi Wapandishwa Vyeo
Kupandishwa vyeo kwa maafisa hao kunafuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa katika kesi za rufaa za madai ya kiraia nambari E971 na E957 za mwaka 2025, ambazo zilihusiana na suala la kupandishwa vyeo kwa maafisa wa polisi.

KMA:Wahudumu Walioathiriwa na Ebola Walindwe
Wale wanaoanza kuonyesha dalili wanashauriwa kusitisha kazi, kuepuka kugusana na watu wengine na kutafuta uchunguzi wa haraka kupitia mifumo rasmi ya kukabiliana na dharura za afya ya umma.

Marekani Yawashauri Raia Wake Kuhusu Maeneo Kenya
Onyo hilo linahusu maeneo kadhaa ya Nairobi,pwani na kaunti zilizo karibu na mipaka ya Kenya na nchi jirani, huku wasafiri wakishauriwa kuchukua tahadhari wanapopanga safari zao.

Sonko seeks court to overturn removal from office ruling
Sonko anapinga maamuzi ya mahakama yaliyothibitisha kuondolewa kwake kupitia mchakato wa kumwondoa madarakani, akisema kuwa matokeo ya baadaye kuhusu utovu wa nidhamu wa aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Said Juma Chitembwe yameibua maswali muhimu kuhusu haki na uhalali wa kikatiba wa kesi hiyo.

Padri afariki baada ya kuangukiwa na msalaba kwenye misa
Kwa mujibu wa maelezo ya tukio hilo, Padri huyo alikuwa akiongoza misa iliyokuwa ikitangazwa mubashara kupitia mitandao ya kijamii wakati msalaba uliokuwa ukining'inia ukutani nyuma ya madhabahu ulipoanguka ghafla na kumwangukia.

Mahakama Yaanzisha Njia ya Kusikiliza Kesi za Fedha
Hata hivyo, mlalamishi anasisitiza kuwa ombi lake halilengi kusimamisha ukusanyaji wa mapato au huduma muhimu za umma, zikiwemo afya, nyumba, matengenezo ya barabara na programu halali za mikopo.

Nairobi: Moto Wazuka Mtaa Wa Bahati, Mlipuko Wa Gesi
Wakazi wa Bahati Estate na maeneo jirani, pamoja na wafanyabiashara na watembea kwa miguu, wametakiwa kujiepusha na eneo lililoathiriwa ili kupunguza hatari ya kujeruhiwa iwapo moto utaendelea kusambaa.

Watahiniwa Watatu Kwale Kufanya Mitihani ya Kitaifa Gerezani
Mitihani hiyo ni hatua muhimu katika safari ya kielimu ya wanafunzi, huku matokeo yake yakisaidia kutathmini maendeleo yao na kuwaelekeza katika hatua zinazofuata za masomo.

Polisi waweka doria Soko la Masinde Muliro, Gavana Natembeya
Vikosi vya usalama vimepelekwa katika soko hilo huku magari ya kunyunyizia maji yakionekana eneo hilo kabla ya ziara iliyopangwa na gavana huyo, ambaye amesisitiza kuwa atahakikisha wafanyabiashara wanaostahili wanapata nafasi za kufanya biashara katika soko hilo.

Eldoret Yahakiki Usalama Mashujaa Day na Fursa Za Kiuchumi
Wakazi wanatumai kuwa uwanja huo utaendelea kuwa na manufaa hata baada ya sherehe za Mashujaa Day, kwa kuvutia watalii, wageni wa kimataifa na mashindano makubwa ya michezo.

Auawa Kwa Kudansi Na Mke Wa Mtu
Kwa mujibu wa Kamanda Maigwa, uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa mauaji hayo yanadaiwa kuchochewa na wivu wa kimapenzi.

Waititu, wife in court for KSh588 million case verdict
Watatu hao walifika mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Kupambana na Ufisadi, Harrison Barasa, kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu uliothibitisha hukumu zao za hatia katika kesi hiyo.

Rais Ruto Aidhinisha Miswaada Miwili Kuwa Sheria
Sheria hizo mbili zinahusu vipengele muhimu vya ugatuzi, zikitoa rasilimali za ziada za kifedha kwa serikali za kaunti huku zikiweka taratibu na ulinzi wa kiutawala ulio wazi kwa wafanyakazi wa mabunge ya kaunti.

Andrew Nyaga found dead in Mto Nyamindi after eight days
Wapelelezi kutoka Kaunti Ndogo ya Kirinyaga Mashariki wameanzisha uchunguzi kuhusu kisa hicho, huku uchunguzi wa maiti ukitarajiwa kutoa mwanga zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake.

Kisii: Lita 6,510 za Kangara Zateketezwa Oparesheni
Operesheni hiyo inaangazia juhudi za polisi katika kaunti ya Kisii za kukabiliana na utengenezaji wa pombe bila kufuata sheria, huku ushirikiano kati ya wananchi na vyombo vya usalama ukitajwa kuwa muhimu katika kudhibiti shughuli hizo.

Sifuna responds to President Ruto on his reform methods
Mabadilishano hayo ya matamshi yanaonyesha tofauti za mitazamo kati ya Rais Ruto na Sifuna kuhusu uhusiano kati ya maendeleo ya kiuchumi, uhuru wa kikatiba na uwajibikaji wa serikali.

Natembeya: Njama za Kumkamata, Mvutano Masinde Muliro
Hatua ya Natembeya kutishia kwenda mahakamani inatarajiwa kufungua njia ya kisheria ya kutatua mzozo huo, ingawa bado hajaweka wazi maelezo ya kesi anayokusudia kufungua au maagizo mahususi atakayoomba mahakama itoe.

UDM Yampa Uhakika Ruto, Yasema 2027 Ni "Two Term"
Katika maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, chama hicho kimeazimia kusimamisha wagombea katika nyadhifa mbalimbali, zikiwemo ugavana, useneta, ubunge, uwakilishi wa wanawake katika Bunge la Kitaifa na uwakilishi wa wadi kupitia viti vya wawakilishi wa Wadi (MCAs).

Sintofahamu Yaibuka Kanisani, Waumimi Wagawanyika Makundi
Waumini hao wanaeleza kwamba wamekuwa wakilalamikia uongozi wa mchungaji huyo kwa muda, wakidai kuwa hawapewi nafasi ya kutosha kushiriki katika maamuzi na shughuli za maendeleo ya kanisa.

Tanzania Yaweka Masharti Mapya kwa Wasafiri Kuzuia Ebola
Hatua hizo zimeanza kutekelezwa mara moja, zikilenga kuzuia kuingia na kuenea kwa ugonjwa huo hatari pamoja na magonjwa mengine ya kuambukiza kupitia mipaka ya nchi hiyo.

Watu 17 Wajeruhiwa Katika Ajali ya Barabarani 'Migaa'
Shirika hilo lilisema kuwa juhudi za kumwokoa majeruhi huyo zilifanikiwa, huku waathiriwa wote wakipata nafasi ya kusafirishwa hadi hospitalini kwa ajili ya kupokea matibabu.

Mbwembwe Za Mlimbwende Madonna,Akisifia Malezi Ya Wanae
Mdonna aliyevuma zaidi kupitia nyimbo zake kama La Isla Bonita 1987, na Hang Up 2005, alitoa kauli hiyo wakati akimtakia mwanaye kheri ya kuzaliwa ambapo ametimiza umri wa miaka 30.

Lamu:Maafisa Wa Usalama Washambuliwa,Mamlaka Yaja Na Mkakati
Ushirikiano kati ya jamii na polisi unatarajiwa kuwa muhimu katika kukabiliana na changamoto hizo, kulinda wakazi na kuzuia mashambulizi zaidi dhidi ya maafisa wa usalama.

Wanne Wauguza Majeraha Baada Ya Jengo Kuporomoka Nairobi
Afisa Mkuu wa Kaunti ya Nairobi anayesimamia Masuala ya Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja, Geoffrey Mosiria, amesema tukio hilo lilitokea usiku wakati idadi ya watu waliokuwa wakipita katika barabara hiyo ilikuwa ndogo, hali ambayo huenda ilisaidia kuzuia maafa zaidi.

KRA Yanasa Simu Chakavu na Drones JKIA
Aidha,maafisa hao walimtia shaka mfanyakazi mmoja wa usafi katika uwanja huo, alipokuwa akitoka katika jengo la abiria akiwa na mabegi mawili.

Nyuma Ya Pazia, Shanga Za Kiunoni
Shanga hizo, kwa hatua kubwa zinakuwa zimefungwa kwa Pamoja zikiwa na viashiria mbalimbali ambavyo huwa ni siri ambayo mtu wa kawaida au anyetoka jamii nyingine hawezi kuelewa, kirahisi.

Wananchi Walia Na Ujenzi Wa Daraja La Migori
Wananchi wanasema wamekuwa wakipitia changamoto nyingi hususan wakati wa siku za soko, kwani inawalazimu kupiga foleni ili kuvuka kutoka pande moja hadi ya pili kutokana na idadi kubwa ya watu.

Serikali Yaja Na Mkakati Uzalishaji Wa Ndani,EAC Yatoa Neno
Kenya pia inalenga kukuza mchango wake katika bidhaa zinazosambazwa chini ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA), ambao kwa sasa ni asilimia 16, ili kufungua masoko zaidi kwa wazalishaji wa ndani.

Chaacha Mwita leaves The Standard Group, reason unclear
Mwita anaondoka katika nafasi yake ya mkurugenzi mtendaji, huku uamuzi huo ukianza kutekelezwa Novemba 1,mwaka huu 2026.

Gikaria Njia Panda Akihofia Kuminywa Kwa Haki.
Katika barua ya Oktoba 16, 2026, kampuni ya mawakili ya Adrian Kamotho Njenga & Co. Advocates imesema Gikaria anakusudia kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa kamati uliotolewa Julai 14, pamoja na hukumu ya Mahakama Kuu ya Oktoba 8 iliyotupilia mbali ombi lake mapitio ya kimahakama.

Mwendeshaji wa Bodaboda Afariki Katika Ajali Baringo
Mwili wa marehemu ulihamishwa hadi katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Baringo, iliyoko Kabarnet, huku uchunguzi ukiendelea.

Familia ya Raila Yashukuru Wakenya Kwa Kumuenzi Baba
Shukrani za familia pia zinaangazia namna kumbukumbu ya Raila inavyoendelea kuwakutanisha Wakenya, licha ya tofauti zao za kisiasa na kijamii.

Kenya Power Yatangaza Maeneo Ya Kukosa Umeme Leo
Kwa mujibu wa tangazo la kampuni hiyo, huduma ya umeme itakatizwa kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni.

Wananchi Wateketeza Magari Baada Ya Ajali
Tukio hilo limeibua hasira miongoni mwa wakazi, ambao baadaye walichoma moto malori manne kwa kule walichokidai kwamba madereva wamejenga mazoea ya kuendesha magari kiholela.

Nyoro Atema Cheche, Adai Mradi wa G-to- G Upitiwe Upya
Kwa upande wa siasa, Nyoro amewataka viongozi waache malumbano ya hadharani na badala yake wajikite katika kujenga muungano imara wa kuikabili serikali ya Kenya Kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.

Hukumu Kesi Ya Mawakili Wa Lissu, Kesho
Katika kesi hiyo mawakili hao walalamikaji,wanapinga vikwazo wanavyowekewa na mkuu wa gereza la Ukonga , kila wanapoenda gerezani kuzungumza na mteja wao, Tundu Lissu, anayehifadhiwa katika mahabusu ya gereza hilo kutokana na kesi ya uhaini inayomkabili.
